Ezekiel 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe hao walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kando yao. Viumbe walipokunjua mabawa yao ili kupaa juu, magurudumu nayo yalikwenda pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makerubi walipoenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalienda; na makerubi walipotanda mabawa yao wapate kupaa juu kutoka ardhini, magurudumu yale hayakuondoka pembeni mwa makerubi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na makerubi walipokwenda, magurudumu yale yalikwenda kando yao; na makerubi walipoinua mabawa yao, wapate kupaa juu kutoka katika dunia, magurudumu yale hayakugeuka wala kutoka kando yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe hao walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kando yao. Viumbe walipokunjua mabawa yao ili kupaa juu, magurudumu nayo yalikwenda pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati makerubi walipokwenda, magurudumu yaliyoko kando yao yalikwenda na wakati makerubi walipotanda mabawa yao wapate kupaa juu kutoka katika ardhi, magurudumu yale hayakuondoka pembeni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati makerubi walipokwenda, magurudumu yaliyoko kando yao yalikwenda na wakati makerubi walipotanda mabawa yao wapate kupaa juu kutoka ardhi, magurudumu yale hayakuondoka pembeni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na makerubi walipokwenda, magurudumu yale yalikwenda kando yao; na makerubi walipoinua mabawa yao, wapate kupaa juu kutoka katika dunia, magurudumu yale hayakugeuka wala kutoka kando yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe hao walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kando yao. Viumbe walipokunjua mabawa yao ili kupaa juu, magurudumu nayo yalikwenda pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makerubi walipokwenda, magurudumu yakaenda kando yao; tena Makerubi walipoyakunjua mabawa yao, waondoke katika nchi kwenda juu, magurudumu nayo hayakugeuka kuondoka kando yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makerubi walipokwenda, magurudumu yale yalikwenda kando yao; na makerubi walipoinua mabawa yao, wapate kupaa juu kutoka katika dunia, magurudumu yale hayakugeuka wala kutoka kando yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makerubi wale walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda pembeni yao. Walipokunjua mabawa yao kusudi wapande juu, magurudumu nayo yalikwenda pamoja nao.