Ezekiel 10:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulitoka kwenye kizingiti cha nyumba, ukaenda na kusimama juu ya wale viumbe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaondoka pale kwenye kizingiti cha Hekalu na kusimama juu ya wale makerubi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha huo utukufu wa Bwana ukatoka pale juu ya kizingiti cha nyumba, ukasimama juu ya makerubi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulitoka kwenye kizingiti cha nyumba, ukaenda na kusimama juu ya wale viumbe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha utukufu wa Mungu ukaondoka pale kwenye kizingiti cha Hekalu na kusimama juu ya wale makerubi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha utukufu wa bwana ukaondoka pale kwenye kizingiti cha Hekalu na kusimama juu ya wale makerubi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha huo utukufu wa BWANA ukatoka pale juu ya kizingiti cha nyumba, ukasimama juu ya makerubi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulitoka kwenye kizingiti cha nyumba, ukaenda na kusimama juu ya wale viumbe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utukufu wa Bwana ukatoka kwenye kizingiti cha kuiingilia hiyo Nyumba, ukasimama juu ya Makerubi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha huo utukufu wa BWANA ukatoka pale juu ya kizingiti cha nyumba, ukasimama juu ya makerubi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utukufu wa Yawe ulitoka kwenye kizingiti cha nyumba, ukaenda na kusimama juu ya wale makerubi.