Ezekiel 10:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile nilizitambua nyuso zao: Zilikuwa zilezile nilizokuwa nimeziona kule kwenye mto Kebari. Kila kiumbe alikwenda mbele, moja kwa moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyuso zao zilifanana kama zile nilizokuwa nimeziona kando ya Mto Kebari. Kila mmoja alienda mbele moja kwa moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mfano wa nyuso zao, ni nyuso zile zile nilizoziona karibu na mto Kebari; kuonekana kwao, na wao wenyewe; kila mmoja walikwenda mbele moja kwa moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile nilizitambua nyuso zao: zilikuwa zilezile nilizokuwa nimeziona kule kwenye mto Kebari. Kila kiumbe alikwenda mbele, moja kwa moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyuso zao zilifanana kama zile nilizokuwa nimeziona kando ya Mto Kebari. Kila mmoja alikwenda mbele moja kwa moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyuso zao zilifanana kama zile nilizokuwa nimeziona kando ya Mto Kebari. Kila mmoja alikwenda mbele moja kwa moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mfano wa nyuso zao, ni nyuso zile zile nilizoziona karibu na mto Kebari; kuonekana kwao, na wao wenyewe; kila mmoja walikwenda mbele moja kwa moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile nilizitambua nyuso zao: Zilikuwa zilezile nilizokuwa nimeziona kule kwenye mto Kebari. Kila kiumbe alikwenda mbele, moja kwa moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nyuso zao hao zilikuwa zimefanana na zile nyuso, nilizoziona kwenye mto wa Kebari; ndivyo, zilivyoonekana kuwa, nao wenyewe walikuwa hivyo. Kila mmoja wakaenda na kufuata hapo, uso wake ulipoelekea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mfano wa nyuso zao, ni nyuso zile zile nilizoziona karibu na mto Kebari; kuonekana kwao, na wao wenyewe; kila mmoja walikwenda mbele moja kwa moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile nilizitambua nyuso zao: zilikuwa zilezile nilizokuwa nimeziona kule kwenye muto Kebari. Kila kiumbe kilikwenda mbele, moja kwa moja.