Ezekiel 10:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliangalia, nikaona kulikuwa na magurudumu manne, gurudumu moja pembeni mwa kila kiumbe chenye mabawa. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatazama, nikaona magurudumu manne kando ya makerubi, moja kando ya kila kerubi. Magurudumu hayo yalimetameta kama zabarajadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikaangalia, na tazama, yalikuwako magurudumu manne karibu na makerubi, gurudumu moja karibu na kerubi mmoja, na gurudumu lingine karibu na kerubi mwingine; na kuonekana kwa magurudumu kulikuwa kana kwamba ni zabarajadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliangalia, nikaona kulikuwa na magurudumu manne, gurudumu moja pembeni mwa kila kiumbe chenye mabawa. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatazama, nikaona magurudumu manne pembeni mwa makerubi, moja pembeni mwa kila kerubi. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatazama, nikaona magurudumu manne kando ya makerubi, moja kando ya kila kerubi. Magurudumu hayo yalimetameta kama kito cha zabarajadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikaangalia, na tazama, yalikuwako magurudumu manne karibu na makerubi, gurudumu moja karibu na kerubi mmoja, na gurudumu lingine karibu na kerubi mwingine; na kuonekana kwa magurudumu kulikuwa kana kwamba ni zabarajadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliangalia, nikaona kulikuwa na magurudumu manne, gurudumu moja pembeni mwa kila kiumbe chenye mabawa. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipotazama mara nikaona magurudumu manne kando ya Makerubi, gurudumu moja kando ya Kerubi mmoja, vivyo hivyo gurudumu moja kando ya kila Kerubi mmoja; nilipoyatazama hayo nagurudumu, jinsi yalivyokuwa, yalikuwa kama kito cha Tarsisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikaangalia, na tazama, yalikuwako magurudumu manne karibu na makerubi, gurudumu moja karibu na kerubi mmoja, na gurudumu lingine karibu na kerubi mwingine; na kuonekana kwa magurudumu kulikuwa kana kwamba ni zabarajadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliangalia, nikaona kulikuwa magurudumu mane, gurudumu moja pembeni ya kila kerubi. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.