Ezekiel 11:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukapaa juu kutoka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima ulio upande wa mashariki wa mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi utukufu wa Mwenyezi Mungu ukapaa juu kuanzia katika mji na kutua juu ya mlima ulio mashariki mwa mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utukufu wa Bwana ukapaa juu toka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima wa upande wa mashariki wa mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukapaa juu kutoka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima ulio upande wa mashariki wa mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi utukufu wa BWANA ukapaa juu kutoka katika mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi utukufu wa bwana ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utukufu wa BWANA ukapaa juu toka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima wa upande wa mashariki wa mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukapaa juu kutoka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima ulio upande wa mashariki wa mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utukufu wa Bwana ukapanda ukiondoka mle mjini katikati, ukasimama juu ya mlima ulioko karibu ya mji upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utukufu wa BWANA ukapaa juu toka katikati ya mji, ukasimama juu ya mlima wa upande wa mashariki wa mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, utukufu wa Yawe ukapanda juu kutoka katikati ya muji, ukasimama juu ya mulima unaokuwa upande wa mashariki wa muji.