Ezekiel 11:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amenionesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionyesha Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu BWANA alichokuwa amenionyesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu bwana alichokuwa amenionyesha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionesha BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaambia waliotekwa mambo yote ya Bwana, aliyonionyesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionyesha BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo nikawaelezea wale waliokuwa katika uhamisho mambo yote Yawe aliyonionyesha.