Ezekiel 11:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha roho ya Mwenyezi-Mungu ikanijia, naye akaniambia, “Waambie watu, Mwenyezi-Mungu asema hivi: Naam, hiki ndicho mnachofikiri enyi Waisraeli. Najua mambo mnayofikiria moyoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Roho wa Mwenyezi Mungu akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho ya Bwana ikaniangukia, naye akaniambia, Nena, Bwana asema hivi; Mmesema maneno hayo, Enyi nyumba ya Israeli; maana mimi nayajua yaingiayo katika mioyo yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha roho ya Mwenyezi-Mungu ikanijia, naye akaniambia, “Waambie watu, Mwenyezi-Mungu asema hivi: Naam, hiki ndicho mnachofikiri enyi Waisraeli. Najua mambo mnayofikiria moyoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Roho wa BWANA akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo BWANA asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, Ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Roho wa bwana akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo bwana asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho ya BWANA ikaniangukia, naye akaniambia, Nena, BWANA asema hivi; Mmesema maneno hayo, Enyi nyumba ya Israeli; maana mimi nayajua yaingiayo katika mioyo yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha roho ya Mwenyezi-Mungu ikanijia, naye akaniambia, “Waambie watu, Mwenyezi-Mungu asema hivi: Naam, hiki ndicho mnachofikiri enyi Waisraeli. Najua mambo mnayofikiria moyoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Roho ya Bwana iliponiangukia, ikaniambia: Sema: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Ndivyo, mlivyosema, mlio wa mlango wa Isiraeli, nayo mawazo yainukayo rohoni mwenu mimi nimeyajua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho ya BWANA ikaniangukia, naye akaniambia, Nena, BWANA asema hivi; Mmesema maneno hayo, Enyi nyumba ya Israeli; maana mimi nayajua yaingiayo katika mioyo yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Roho wa Yawe akaniingia, naye akaniambia: Uwaambie watu kwamba: Yawe anasema hivi: Ni hivi ndivyo munavyosema, enyi Waisraeli. Ninajua mambo munayofikiri juu yake ndani ya moyo wenu.