Ezekiel 11:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmewaua watu wengi mjini humu, na kujaza barabara zake na watu waliouawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmewaongeza watu wenu waliouawa ndani ya mji wenu, nanyi mmezijaza njia kuu zake waliouawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmewaua watu wengi mjini humu, na kujaza barabara zake na watu waliouawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmewaongeza watu wenu waliouawa ndani ya mji wenu, nanyi mmezijaza njia kuu zake waliouawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmewaua watu wengi mjini humu, na kujaza barabara zake na watu waliouawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenzenu, mliowaua humu mjini, ni wengi, mkajaza barabara za mji mizoga yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmewaongeza watu wenu waliouawa ndani ya mji wenu, nanyi mmezijaza njia kuu zake waliouawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumewaua watu wengi katika muji huu, na kujaza barabara zake na watu waliouawa.