Ezekiel 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta dhidi yenu, asema Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi mmeuogopa upanga; nami nitauleta upanga juu yenu, asema Bwana MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi mmeuogopa upanga; nami nitauleta upanga juu yenu, asema Bwana MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Panga mnaziogopa, lakini nitawaletea panga; ndivyo, asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi mmeuogopa upanga; nami nitauleta upanga juu yenu, asema Bwana MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga juu yenu! –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.–