Ezekiel 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawatoa ndani ya mji na kuwatia mikononi mwa watu wa mataifa mengine, nami nitawahukumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawatoa ninyi nje kutoka katikati yake, na kuwatia katika mikono ya wageni, nami nitafanya hukumu kati yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawatoa ndani ya mji na kuwatia mikononi mwa watu wa mataifa mengine, nami nitawahukumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawatoa ninyi nje kutoka katikati yake, na kuwatia katika mikono ya wageni, nami nitafanya hukumu kati yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawatoa ndani ya mji na kuwatia mikononi mwa watu wa mataifa mengine, nami nitawahukumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitawatoa humu mjini, niwatie mikononi mwa wageni; ndipo, nitakapowakatia mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawatoa ninyi nje kutoka katikati yake, na kuwatia katika mikono ya wageni, nami nitafanya hukumu kati yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawatoa ndani ya muji na kuwatoa katika mikono ya watu wa mataifa mengine, nami nitawahukumu.