Ezekiel 12:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kauli hii yangu yahusu mambo yatakayompata mtawala wa Yerusalemu na watu wote wa Israeli wanaoishi humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Unabii huu unamhusu mkuu aliye katika Yerusalemu na watu wote wa nyumba ya Israeli walio huko.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Ufunuo huu wamhusu mkuu wa Yerusalemu, na nyumba yote ya Israeli walio kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kauli hii yangu yahusu mambo yatakayompata mtawala wa Yerusalemu na watu wote wa Israeli wanaoishi humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Neno hili linamhusu mkuu aliye katika Yerusalemu na nyumba yote ya Israeli ambao wako huko.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Neno hili linamhusu mkuu aliye katika Yerusalemu na nyumba yote ya Israeli ambao wako huko.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Ufunuo huu wamhusu mkuu wa Yerusalemu, na nyumba yote ya Israeli walio kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kauli hii yangu yahusu mambo yatakayompata mtawala wa Yerusalemu na watu wote wa Israeli wanaoishi humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Tamko hili zito ni la mkuu wa Yerusalemu, tena la mlango wote wa Isiraeli uliomo humu mjini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Ufunuo huu wamhusu mkuu wa Yerusalemu, na nyumba yote ya Israeli walio kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Neno langu hili linaelekea mambo yatakayomupata mutawala wa Yerusalema na Waisraeli wote wanaoishi humo.