Ezekiel 12:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuasi wake wote, washauri wake na vikosi vyake vyote, nitawatawanya nje kila upande. Nitauchomoa upanga na kuwafuatilia nyuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote: watumishi wake na majeshi yake yote; nami nitawafuatilia kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawatawanya kwa pepo zote wote wamzungukao ili wamsaidie, na vikosi vyake vyote; nami nitaufuta upanga nyuma yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuasi wake wote, washauri wake na vikosi vyake vyote, nitawatawanya nje kila upande. Nitauchomoa upanga na kuwafuatilia nyuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote, watumishi wake na majeshi yake yote, nami nitawafuatilia kwa upanga uliofutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote, watumishi wake na majeshi yake yote, nami nitawafuatilia kwa upanga uliofutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawatawanya kwa pepo zote wote wamzungukao ili wamsaidie, na vikosi vyake vyote; nami nitaufuta upanga nyuma yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuasi wake wote, washauri wake na vikosi vyake vyote, nitawatawanya nje kila upande. Nitauchomoa upanga na kuwafuatilia nyuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote wamzungukao kuwa wasaidiaji wake nao wa vikosi vyake vyote nitawatupatupa pande zote za upepo, nazo panga nitazichomoa, ziwafuate nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawatawanya kwa pepo zote wote wamzungukao ili wamsaidie, na vikosi vyake vyote; nami nitaufuta upanga nyuma yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafuasi wake wote, washauri wake na waaskari wake wote, nitawasambaza inje kila upande. Nitauchomoa upanga na kuwafuatilia nyuma.