Ezekiel 12:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakapowatawanya kati ya mataifa mengine na nchi za mbali, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wao watajua kwamba Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitakapowatawanya miongoni mwa mataifa, na kuwatapanya katika nchi zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana; nitakapowatawanya kati ya mataifa, na kuwatupa-tupa katika nchi zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakapowatawanya kati ya mataifa mengine na nchi za mbali, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wao watajua kwamba Mimi ndimi BWANA, nitakapowatawanya miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huko na huko katika nchi zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wao watajua kwamba Mimi ndimi bwana, nitakapowatawanya miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huku na huko katika nchi zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA; nitakapowatawanya kati ya mataifa, na kuwatapanya katika nchi zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakapowatawanya kati ya mataifa mengine na nchi za mbali, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitakapowatupatupa kwenye wamizimu na kuwatawanya katika nchi hizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA; nitakapowatawanya kati ya mataifa, na kuwatupa-tupa katika nchi zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakapowasambaza kati ya mataifa mengine na inchi za mbali, halafu watatambua kwamba mimi ni Yawe.