Ezekiel 12:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu, kula chakula na kunywa maji yako ukitetemeka kwa hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, tetemeka unapokula chakula chako, tetemeka kwa hofu unapokunywa maji yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, ule chakula chako kwa matetemo, ukanywe maji yako kwa kutetemeka na kwa kuyatunza sana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu, kula chakula na kunywa maji yako ukitetemeka kwa hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, tetemeka wakati ulapo chakula chako, tetemeka kwa hofu wakati unywapo maji yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, tetemeka wakati ulapo chakula chako, tetemeka kwa hofu wakati unywapo maji yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, ule chakula chako kwa mtetemo, ukanywe maji yako kwa kutetemeka na kwa kuyatunza sana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu, kula chakula na kunywa maji yako ukitetemeka kwa hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, sharti ukile chakula chako kwa kutetemeka! Nayo maji yako sharti uyanywe kwa kustuka na kwa kuyahangaikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, ule chakula chako kwa matetemo, ukanywe maji yako kwa kutetemeka na kwa kuyatunza sana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu, kula chakula na kunywa maji yako ukitetemeka kwa hofu.