Ezekiel 12:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hapatakuwa tena na maono ya uongo wala ubashiri wa kujipendekeza miongoni mwa watu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hayatakuwapo tena maono yo yote ya ubatili, wala ubashiri wa kujipendekeza, katika nyumba ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hapatakuwepo tena na maono ya uongo wala ubashiri wa udanganyifu miongoni mwa watu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hapatakuwepo tena na maono ya uongo wala ubashiri wa udanganyifu miongoni mwa watu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hayatakuwapo tena maono yoyote ya ubatili, wala ubashiri wa kujipendekeza, katika nyumba ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hakuna tena ono lo lote litakalokuwa la bure, wala ufumbuaji wa kupendeza watu tu kwao wa mlango wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hayatakuwapo tena maono yo yote ya ubatili, wala ubashiri wa kujipendekeza, katika nyumba ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana hakutakuwa tena maono ya uongo au uaguzi kati ya Waisraeli.