Ezekiel 12:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao ni watu waasi. Basi, ewe mtu, fanya kama vile unakwenda uhamishoni: Ondoka wakiwa wanakuona, ukimbilie mahali pengine. Nenda kama mkimbizi kutoka mahali ulipo mpaka mahali pengine wao wakikuona. Labda wataelewa, ingawa wao ni waasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo, mwanadamu, funga mizigo yako kwa kwenda uhamishoni tena wakati wa mchana, wakiwa wanakutazama, toka nje na uende mahali pengine kutoka hapo ulipo. Huenda wataelewa, ingawa wao ni nyumba ya uasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mwanadamu, funga tayari vyombo kwa uhamisho, ukahame wakati wa mchana mbele ya macho yao; nawe utahama toka mahali pako hapa mpaka mahali pengine mbele ya macho yao; labda watafahamu, wajapokuwa ni nyumba iliyoasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao ni watu waasi. Basi, ewe mtu, fanya kama vile unakwenda uhamishoni: ondoka wakiwa wanakuona, ukimbilie mahali pengine. Nenda kama mkimbizi kutoka mahali ulipo mpaka mahali pengine wao wakikuona. Labda wataelewa, ingawa wao ni waasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo, mwanadamu, funga mizigo yako kwa kwenda uhamishoni tena wakati wa mchana, wakiwa wanakutazama, toka nje na uende mahali pengine kutoka hapo ulipo. Labda wataelewa, ingawa wao ni nyumba ya kuasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo, mwanadamu, funga mizigo yako kwa kwenda uhamishoni tena wakati wa mchana, wakiwa wanakutazama, toka nje na uende mahali pengine kutoka hapo ulipo. Labda wataelewa, ingawa wao ni nyumba ya kuasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mwanadamu, funga tayari vyombo kwa uhamisho, ukahame wakati wa mchana mbele ya macho yao; nawe utahama toka mahali pako hapa mpaka mahali pengine mbele ya macho yao; labda watafahamu, wajapokuwa ni nyumba iliyoasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao ni watu waasi. Basi, ewe mtu, fanya kama vile unakwenda uhamishoni: Ondoka wakiwa wanakuona, ukimbilie mahali pengine. Nenda kama mkimbizi kutoka mahali ulipo mpaka mahali pengine wao wakikuona. Labda wataelewa, ingawa wao ni waasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wewe mwana wa mtu, jifanyizie vyombo vya kuhama navyo! Kisha hama mchana machoni pao, ukuhama mahali pako na kuhamia pengine machoni pao, labda wataona, ya kuwa ndio mlango mkatavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mwanadamu, funga tayari vyombo kwa uhamisho, ukahame wakati wa mchana mbele ya macho yao; nawe utahama toka mahali pako hapa mpaka mahali pengine mbele ya macho yao; labda watafahamu, wajapokuwa ni nyumba iliyoasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao ni watu waasi. Basi, ewe mwanadamu, ufanye kama vile unakwenda katika uhamisho: ondoka muchana wakati wanapokuwa wakikuona, ukimbilie pahali pengine. Kwenda na muzigo wako kama mukimbizi kutoka pahali unapokuwa mpaka pahali pengine wao wakikuona. Labda wataelewa, ingawa wao ni waasi.