Ezekiel 12:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asubuhi neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi neno la BWANA likanijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi neno la bwana likanijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asubuhi neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi neno la Bwana likanijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asubuhi neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake asubui, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: