Ezekiel 13:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na sasa, ewe mtu, wageukie wanawake wa taifa lako ambao wanatabiri mambo ambayo wameyawaza wao wenyewe. Tamka unabii dhidi yao
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa, mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya binti za watu wako wanaotabiri mambo kutoka mawazo yao wenyewe. Tabiri dhidi yao
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wewe, mwanadamu, kaza uso wako juu ya binti za watu wako, watabirio kwa akili zao wenyewe; ukatabiri juu yao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na sasa, ewe mtu, wageukie wanawake wa taifa lako ambao wanatabiri mambo ambayo wameyawaza wao wenyewe. Tamka unabii dhidi yao
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa, mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya binti za watu wako wanaotabiri mambo kutoka katika mawazo yao wenyewe. Tabiri dhidi yao
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa, mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya binti za watu wako wanaotabiri mambo kutoka mawazo yao wenyewe. Tabiri dhidi yao
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wewe, mwanadamu, kaza uso wako juu ya binti za watu wako, watabirio kwa akili zao wenyewe; ukatabiri juu yao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na sasa, ewe mtu, wageukie wanawake wa taifa lako ambao wanatabiri mambo ambayo wameyawaza wao wenyewe. Tamka unabii dhidi yao
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe mwana wa mtu, uso wako uuelekezee wanawake wa ukoo wako wanaoagua kwa hayo yaliyomo mioyoni mwao, uwafumbulie yatakayowajia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wewe, mwanadamu, kaza uso wako juu ya binti za watu wako, watabirio kwa akili zao wenyewe; ukatabiri juu yao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa, ewe mwanadamu, uwaelekee wanawake wa taifa lako ambao wanatabiri mambo ambayo wameyawaza wao wenyewe. Utabiri juu yao