Ezekiel 13:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Manabii wenu, enyi Waisraeli ni kama mbweha wanaopitapita katika magofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manabii wako, ee Israeli, ni kama mbweha katikati ya magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Israeli, manabii wako wamekuwa kama mbweha, mahali palipo ukiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Manabii wenu, enyi Waisraeli ni kama mbweha wanaopitapita katika magofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manabii wako, Ee Israeli ni kama mbweha katikati ya magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manabii wako, ee Israeli, ni kama mbweha katikati ya magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Israeli, manabii wako wamekuwa kama mbweha, mahali palipo ukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Manabii wenu, enyi Waisraeli ni kama mbweha wanaopitapita katika magofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mbweha walivyo kwenye mabomoko, ndivyo, wafumbuaji wako, Isiraeli, walivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Israeli, manabii wako wamekuwa kama mbweha, mahali palipo ukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Manabii wenu, enyi Waisraeli ni kama mbweha wanaopitapita katika mabomoko.