Ezekiel 15:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu! Je, mti wa mzabibu ni bora kuliko miti mingine msituni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, je, ni vipi mti wa mzabibu unaweza kuwa bora kuliko tawi la mti mwingine wowote ndani ya msitu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, mzabibu una sifa gani kuliko mti mwingine, au tawi la mzabibu lililokuwa kati ya miti ya msituni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu! Je, mti wa mzabibu ni bora kuliko miti mingine msituni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, je, ni vipi mti wa mzabibu unaweza kuwa bora zaidi kuliko tawi la mti mwingine wo wote ndani ya msitu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, je, ni vipi mti wa mzabibu unaweza kuwa bora zaidi kuliko tawi la mti mwingine wowote ndani ya msitu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, mzabibu una sifa gani kuliko mti mwingine, au tawi la mzabibu lililokuwa kati ya miti ya msituni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu! Je, mti wa mzabibu ni bora kuliko miti mingine msituni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, mti wa mzabibu unaipita miti yote kwa nini? Au liko, tawi lake linalolipata likikaa kwenye miti ya mwituni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, mzabibu una sifa gani kuliko mti mwingine, au tawi la mzabibu lililokuwa kati ya miti ya msituni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu! Muti wa muzabibu ni bora kuliko miti mingine ya pori?