Ezekiel 15:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mti wake wafaa kutengenezea kitu chochote? Je, watu huweza kutengeneza kigingi kutoka mti huo ili waweze kutundikia vitu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mti wake kamwe huchukuliwa na kutengeneza chochote cha manufaa? Je, watu hutengeneza vigingi vya kuning’inizia vitu kutokana na huo mti wake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mti wake waweza kutwaliwa, ili kufanya kazi yo yote? Watu waweza kufanya chango kwa huo, ili kutundika chombo cho chote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mti wake wafaa kutengenezea kitu chochote? Je, watu huweza kutengeneza kigingi kutoka mti huo ili waweze kutundikia vitu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mti wake kamwe huchukuliwa na kutengeneza cho chote cha manufaa? Je, watu hutengeneza vigingi vya kuning'inizia vitu kutokana na huo mti wake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mti wake kamwe huchukuliwa na kutengeneza chochote cha manufaa? Je, watu hutengeneza vigingi vya kuning’inizia vitu kutokana na huo mti wake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mti wake waweza kutwaliwa, ili kufanya kazi yoyote? Watu waweza kufanya kigingi kwa huo, ili kutundika chombo chochote?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mti wake wafaa kutengenezea kitu chochote? Je, watu huweza kutengeneza kigingi kutoka mti huo ili waweze kutundikia vitu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Huchukuliwa mti wake wa kutumiwa kwa kazi yo yote? Au watu huuchukua, wautumie kuwa mambo tu ya kutungikia vyombo vyao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mti wake waweza kutwaliwa, ili kufanya kazi yo yote? Watu waweza kufanya chango kwa huo, ili kutundika chombo cho chote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muti wake unafaa kwa kutengeneza kitu chochote? Watu wanaweza kuutumia kwa kutengeneza misumari ya kutundika vitu?