Ezekiel 15:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulipokuwa haujachomwa ulikuwa haufai kitu, sembuse sasa baada ya kuteketezwa kwa moto na kuwa makaa! Haufai kitu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama haukufaa kitu chochote ulipokuwa mzima, je, si zaidi sana sasa ambapo hauwezekani kufanyishwa chochote cha kufaa baada ya moto kuuchoma na kuuacha majivu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, ulipokuwa mzima, haukufaa kwa kazi yo yote; sembuse ukiisha kuliwa na moto, na kuteketea; je! Waweza kufaa kwa kazi yo yote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulipokuwa haujachomwa ulikuwa haufai kitu, sembuse sasa baada ya kuteketezwa kwa moto na kuwa makaa! Haufai kitu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama haukufaa kitu cho chote ulipokuwa mzima, je, si zaidi sana sasa ambapo hauwezekani kufanyishwa cho chote cha kufaa baada ya moto kuuchoma na kuuunguza?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama haukufaa kitu chochote ulipokuwa mzima, je, si zaidi sana sasa ambapo hauwezekani kufanyishwa chochote cha kufaa baada ya moto kuuchoma na kuuunguza?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, ulipokuwa mzima, haukufaa kwa kazi yoyote; sembuse ukiisha kuliwa na moto, na kuteketea; je! Waweza kufaa kwa kazi yoyote?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulipokuwa haujachomwa ulikuwa haufai kitu, sembuse sasa baada ya kuteketezwa kwa moto na kuwa makaa! Haufai kitu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Ungaliko mzima bado hautumiwi kwa kazi yo yote; sembuse moto ukiisha kuula na kuunguza, hautatumiwa kabisa kwa kazi yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, ulipokuwa mzima, haukufaa kwa kazi yo yote; sembuse ukiisha kuliwa na moto, na kuteketea; je! Waweza kufaa kwa kazi yo yote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulipokuwa haujachomwa ulikuwa haufai kitu, kefu sasa unapokwisha kuchomwa kwa moto na kuwa makaa! Haufai kitu kabisa.