Ezekiel 16:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuvika pia vazi lililonakshiwa na viatu vya ngozi. Nikakuzungushia kitambaa cha kitani safi na mtandio wa hariri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikakuvika vazi lililotariziwa na kukuvalisha viatu vya ngozi. Nikakuvika nguo za kitani safi na kukufunika kwa mavazi ya thamani kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikakuvika nguo ya taraza, nikakupa viatu vya ngozi ya pomboo, nikakufunga nguo ya kitani safi kiunoni mwako, nikakufunika kwa hariri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuvika pia vazi lililonakshiwa na viatu vya ngozi. Nikakuzungushia kitambaa cha kitani safi na mtandio wa hariri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikakuvika vazi lililotariziwa na kukuvalisha viatu vya kamba vya ngozi. Nikakuvika nguo za kitani safi na kukufunika kwa mavazi ya thamani kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikakuvika vazi lililotariziwa na kukuvalisha viatu vya kamba vya ngozi. Nikakuvika nguo za kitani safi na kukufunika kwa mavazi ya thamani kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikakuvika nguo ya taraza, nikakupa viatu vya ngozi ya pomboo, nikakufunga nguo ya kitani safi kiunoni mwako, nikakufunika kwa hariri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuvika pia vazi lililonakshiwa na viatu vya ngozi. Nikakuzungushia kitambaa cha kitani safi na mtandio wa hariri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikakuvika nguo za rangi, nikakupa hata viatu vya ngozi ya pomboo, nikakufunga nao mharuma wa bafta, nikakupa ukaya wa hariri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikakuvika nguo ya taraza, nikakupa viatu vya ngozi ya pomboo, nikakufunga nguo ya kitani safi kiunoni mwako, nikakufunika kwa hariri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuvalisha vilevile nguo iliyopambwa vizuri na viatu vya ngozi nzuri. Nikakuvalisha mukaba wa kitani safi na kitambaa cha hariri.