Ezekiel 16:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikakupamba kwa mapambo pia, nikatia vikuku mikononi mwako, na mkufu shingoni mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikakupamba kwa mapambo pia, nikatia vikuku mikononi mwako, na mkufu shingoni mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikakupamba kwa mapambo: nikakupa vikuku vya kuvaa mikononi pako na mkufu wa shingoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikakupamba kwa mapambo pia, nikatia vikuku mikononi mwako, na mkufu shingoni mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikakupamba kwa mapambo, nikakuvalisha vikomo kwa mikono yako na mukufu kwenye shingo.