Ezekiel 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikakutia hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na kichwani mwako nikakupamba kwa taji nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikatia hazama puani mwako, na pete masikioni mwako, na taji nzuri juu ya kichwa chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikakutia hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na kichwani mwako nikakupamba kwa taji nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikatia kishaufu puani mwako, na hereni masikioni mwako, na taji zuri juu ya kichwa chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikakutia hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na kichwani mwako nikakupamba kwa taji nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikakupa navyo vipini vya puani na mapete ya masikioni na kilemba chenye utukufu kichwani pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikatia hazama puani mwako, na pete masikioni mwako, na taji nzuri juu ya kichwa chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikakutia pete kwenye pua, visikio kwenye masikio yako na juu ya kichwa chako nikakupamba kwa taji nzuri.