Ezekiel 16:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vito vyako vizuri vya dhahabu na fedha nilivyokupa, ulivitwaa, ukajifanyia sanamu za wanaume upate kufanya uzinzi nazo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia ulichukua vito vizuri nilivyokupa, vito vilivyotengenezwa kwa dhahabu yangu na fedha yangu, ukajitengenezea navyo sanamu za kiume na ukafanya ukahaba nazo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia ulivitwaa vyombo vyako vya uzuri, vya dhahabu yangu na vya fedha yangu, nilivyokupa, ukajifanyia sanamu za wanaume, ukafanya mambo ya kikahaba pamoja nazo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vito vyako vizuri vya dhahabu na fedha nilivyokupa, ulivitwaa, ukajifanyia sanamu za wanaume upate kufanya uzinzi nazo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia ulichukua vito vizuri nilivyokupa, vito vilivyotengenezwa kwa dhahabu yangu na fedha yangu, ukajitengenezea navyo sanamu za kiume na ukafanya ukahaba nazo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia ulichukua vito vizuri nilivyokupa, vito vilivyotengenezwa kwa dhahabu yangu na fedha yangu, ukajitengenezea navyo sanamu za kiume na ukafanya ukahaba nazo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia ulivitwaa vyombo vyako vya uzuri, vya dhahabu yangu na vya fedha yangu, nilivyokupa, ukajifanyia sanamu za wanaume, ukafanya mambo ya kikahaba pamoja nazo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vito vyako vizuri vya dhahabu na fedha nilivyokupa, ulivitwaa, ukajifanyia sanamu za wanaume upate kufanya uzinzi nazo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ukayachukua mapambo yako matukufu yaliyo dhahabu zangu na fedha zangu, nilizokupa, ukajitengenezea vinyago vya kiume, ukafanya ugoni navyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia ulivitwaa vyombo vyako vya uzuri, vya dhahabu yangu na vya fedha yangu, nilivyokupa, ukajifanyia sanamu za wanaume, ukafanya mambo ya kikahaba pamoja nazo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulitwaa vile vitu vyako vizuri vya zahabu na feza nilivyokupa kwa kujipamba, ukajifanyia sanamu za wanaume upate kufanya uzinzi nazo.