Ezekiel 16:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukatwaa mavazi niliyokupa yaliyotiwa nakshi na kuzifunika zile sanamu, na mafuta yangu na ubani wangu, ukazitolea sanamu hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukayachukua mavazi yako yaliyotariziwa, na kuyavalisha hizo sanamu, ukatoa mbele ya hizo sanamu mafuta yangu na uvumba wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukatwaa nguo zako za kazi ya taraza, ukawafunika, ukaweka mafuta yangu na uvumba wangu mbele yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukatwaa mavazi niliyokupa yaliyotiwa nakshi na kuzifunika zile sanamu, na mafuta yangu na ubani wangu, ukazitolea sanamu hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukayachukua mavazi yako niliyokupa yaliyotariziwa na ukazivalisha hizo sanamu, ukatoa mbele ya hizo sanamu mafuta yangu na uvumba wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukayachukua mavazi yako niliyokupa yaliyotariziwa na ukazivalisha hizo sanamu, ukatoa mbele ya hizo sanamu mafuta yangu na uvumba wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukatwaa nguo zako za kazi ya taraza, ukawafunika, ukaweka mafuta yangu na uvumba wangu mbele yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukatwaa mavazi niliyokupa yaliyotiwa nakshi na kuzifunika zile sanamu, na mafuta yangu na ubani wangu, ukazitolea sanamu hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukayachukua nayo mavazi yako ya nguo za rangi, ukavivika, ukavipelekea nayo mafuta yangu na uvumba wangu kuwa mbele yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukatwaa nguo zako za kazi ya taraza, ukawafunika, ukaweka mafuta yangu na uvumba wangu mbele yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukatwaa nguo nilizokupa zilizopambwa na kuzifunika zile sanamu, na mafuta yangu na ubani wangu, ukavitolea sanamu hizo.