Ezekiel 16:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu, ujulishe mji wa Yerusalemu machukizo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, kabili Yerusalemu kuhusu matendo yake ya kuchukiza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, uujulishe Yerusalemu machukizo yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu, ujulishe mji wa Yerusalemu machukizo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, ijulishe Yerusalemu kuhusu mwenendo wake wa machukizo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, ijulishe Yerusalemu kuhusu mwenendo wake wa machukizo
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, uujulishe Yerusalemu machukizo yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu, ujulishe mji wa Yerusalemu machukizo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, wajulishe Wayerusalemu machukizo yao
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, uujulishe Yerusalemu machukizo yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu, ujulishe Yerusalema machukizo yake.