Ezekiel 16:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, jambo hili la kuwachinja watoto wangu ili wawe tambiko ya kuteketeza kwa ajili ya sanamu zako ni jambo dogo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata ukawaua watoto wangu, na kuwatoa kwa kuwapitisha motoni kwa hao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, jambo hili la kuwachinja watoto wangu ili wawe tambiko ya kuteketeza kwa ajili ya sanamu zako ni jambo dogo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata ukawaua watoto wangu, na kuwatoa kwa kuwapitisha motoni kwa hao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, jambo hili la kuwachinja watoto wangu ili wawe tambiko ya kuteketeza kwa ajili ya sanamu zako ni jambo dogo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukiwachinja wanangu, ukawatoa na kuwapitisha motoni, wawe wao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata ukawaua watoto wangu, na kuwatoa kwa kuwapitisha motoni kwa hao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hili la kuwachinja watoto wangu kwa kuwa sadaka ya kuteketeza kwa ajili ya sanamu zako ni jambo dogo?