Ezekiel 16:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuambia: Ole wako, ole wako Yerusalemu! Baada ya kufanya hayo yote
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ole! Ole wako! Asema Bwana Mungu Mwenyezi. Pamoja na maovu yako yote mengine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, imekuwa baada ya uovu wako wote, (ole wako! ole wako! Asema Bwana MUNGU,)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuambia: Ole wako, ole wako Yerusalemu! Baada ya kufanya hayo yote
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ole! Ole wako! Asema BWANA Mwenyezi. Pamoja na maovu yako yote mengine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ole! Ole wako! Asema bwana Mwenyezi. Pamoja na maovu yako yote mengine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, imekuwa baada ya uovu wako wote, (ole wako! ole wako! Asema Bwana MUNGU,)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuambia: Ole wako, ole wako Yerusalemu! Baada ya kufanya hayo yote
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa umekwisha kuyafanya hayo mabaya yako yote, yatakupata! Yatakupata kweli! ndivyo, asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, imekuwa baada ya uovu wako wote, (ole wako! ole wako! Asema Bwana MUNGU,)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwako, ole kwako Yerusalema! –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.– Kisha kufanya hayo yote