Ezekiel 16:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ulijijengea majukwaa ya ibada na mahali pa juu kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulijijengea jukwaa na kujifanyia mahali pa fahari pa ibada za sanamu kwenye kila uwanja wa mikutano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ulijijengea mahali palipoinuka, ukajifanyia mahali palipoinuka katika kila njia kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ulijijengea majukwaa ya ibada na mahali pa juu kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukajijengea jukwaa na kujifanyia mahali pa fahari pa ibada za miungu kwenye kila uwanja wa mikutano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukajijengea jukwaa na kujifanyia mahali pa fahari pa ibada za miungu kwenye kila uwanja wa mikutano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ulijijengea mahali palipoinuka, ukajifanyia mahali palipoinuka katika kila njia kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ulijijengea majukwaa ya ibada na mahali pa juu kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ukajijengea nyumba ya vinyago, uwanjani po pote ukajitengenezea pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ulijijengea mahali palipoinuka, ukajifanyia mahali palipoinuka katika kila njia kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ulijijengea nafasi zinazoinuka kila pahali.