Ezekiel 16:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena ulifanya uzinzi na jirani zako Wamisri waliojaa tamaa, ukaongeza uzinzi wako na kuichochea hasira yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulifanya ukahaba wako na Wamisri, majirani zako waliojaa tamaa, ukaichochea hasira yangu kwa kuongezeka kwa uzinzi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena umezini na Wamisri, jirani zako, wakuu wa mwili; ukaongeza mambo yako ya kikahaba, ili kunikasirisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena ulifanya uzinzi na jirani zako Wamisri waliojaa tamaa, ukaongeza uzinzi wako na kuichochea hasira yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulifanya ukahaba wako na Wamisri, jirani zako waliojaa tamaa, ukaichochea hasira yangu kwa kuongezeka kwa uzinzi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulifanya ukahaba wako na Wamisri, jirani zako waliojaa tamaa, ukaichochea hasira yangu kwa kuongezeka kwa uzinzi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena umezini na Wamisri, jirani zako, wakuu wa mwili; ukaongeza mambo yako ya kikahaba, ili kunikasirisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena ulifanya uzinzi na jirani zako Wamisri waliojaa tamaa, ukaongeza uzinzi wako na kuichochea hasira yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukafanya ugoni nao Wamisri, uliokaa nao, walio wenye miili mikubwa, ukauzidisha ugoni, kusudi unikasirishe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena umezini na Wamisri, jirani zako, wakuu wa mwili; ukaongeza mambo yako ya kikahaba, ili kunikasirisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)