Ezekiel 16:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa kuwa hukutosheka, ulifanya tena uzinzi na Waashuru. Na hiyo pia haikukutosheleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulifanya ukahaba na Waashuru pia, kwa kuwa hukuridhika, hata baada ya hayo, ukawa bado hukutosheleka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia umefanya mambo ya kikahaba pamoja na Waashuri, kwa sababu ulikuwa huwezi kushibishwa; naam, umefanya mambo ya kikahaba pamoja nao, wala hujashiba bado.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa kuwa hukutosheka, ulifanya tena uzinzi na Waashuru. Na hiyo pia haikukutosheleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulifanya ukahaba na Waashuru pia, kwa kuwa hukuridhika, hata baada ya hayo, ukawa bado hukutosheleka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulifanya ukahaba na Waashuru pia, kwa kuwa hukuridhika, hata baada ya hayo, ukawa bado hukutosheleka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia umefanya mambo ya kikahaba pamoja na Waashuri, kwa sababu ulikuwa huwezi kushibishwa; naam, umefanya mambo ya kikahaba pamoja nao, wala hujashiba bado.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa kuwa hukutosheka, ulifanya tena uzinzi na Waashuru. Na hiyo pia haikukutosheleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukafanya ugoni nao wana wa Asuri, kwa kuwa hujashiba bao; ukafanya ugoni nao, lakini hapo napo hukushiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia umefanya mambo ya kikahaba pamoja na Waashuri, kwa sababu ulikuwa huwezi kushibishwa; naam, umefanya mambo ya kikahaba pamoja nao, wala hujashiba bado.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu haukutosheka, ulifanya tena uzinzi na Waasuria. Na hiyo vilevile haikukutoshelea.