Ezekiel 16:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulijitoa wewe mwenyewe utumiwe na Wababuloni, watu wafanyao biashara! Hata hivyo hukutosheka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo uliuzidisha uzinzi wako kwa kujumuisha Ukaldayo, nchi ya wafanyabiashara; lakini hata katika hili hukutosheka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo umeongeza mambo yako ya kikahaba katika nchi ya Kanaani, mpaka Ukaldayo, wala hujashibishwa kwa hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulijitoa wewe mwenyewe utumiwe na Wababuloni, watu wafanyao biashara! Hata hivyo hukutosheka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo ukaongeza uzinzi wako kwa Wakaldayo nchi ya wafanyabiashara, hata katika hili hukutosheka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo ukaongeza uzinzi wako kwa Wakaldayo nchi ya wafanyabiashara, hata katika hili hukutosheka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo umeongeza mambo yako ya kikahaba katika nchi ya Kanaani, mpaka Ukaldayo, wala hujashibishwa kwa hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulijitoa wewe mwenyewe utumiwe na Wababuloni, watu wafanyao biashara! Hata hivyo hukutosheka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukauzidisha ugoni wako katika nchi ya Kanaani mpaka huko, Wakasidi wanakokaa, lakini hapo napo hukushiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo umeongeza mambo yako ya kikahaba katika nchi ya Kanaani, mpaka Ukaldayo, wala hujashibishwa kwa hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulijitoa wewe mwenyewe utumiwe na Wababeli, watu wanaofanya biashara! Hata hivyo haukutosheka.