Ezekiel 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uuambie kuwa, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nauambia Yerusalemu: Kwa asili wewe ulizaliwa katika nchi ya Kanaani. Baba yako alikuwa Mwamori, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
useme, ‘Hili ndilo Bwana Mungu Mwenyezi, analomwambia Yerusalemu: Asili na kuzaliwa kwako kulikuwa ni katika nchi ya Wakanaani; baba yako alikuwa Mwamori, naye mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya Mkanaani; Mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uuambie kuwa, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nauambia Yerusalemu: Kwa asili wewe ulizaliwa katika nchi ya Kanaani. Baba yako alikuwa Mwamori, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na useme, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi, analomwambia Yerusalemu: Wewe asili yako na kuzaliwa kwako ni katika nchi ya Kanaani, baba yako alikuwa Mwamori, naye mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na useme, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi, analomwambia Yerusalemu: Wewe asili yako na kuzaliwa kwako ni katika nchi ya Kanaani, baba yako alikuwa Mwamori, naye mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya Mkanaani; Mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uuambie kuwa, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nauambia Yerusalemu: Kwa asili wewe ulizaliwa katika nchi ya Kanaani. Baba yako alikuwa Mwamori, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukiwaambia: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyouambia Yerusalemu: Nchi ya Kanaani ndiko kwenu kwa mwanzo wako na kwa kuzaliwa kwako; baba yako ni Mwamori, mama yako ni Mhiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya Mkanaani; Mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa Mhiti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uuambie kwamba Bwana wake Yawe anauambia hivi: Kwa asili wewe ulizaliwa katika inchi ya Kanana. Baba yako alikuwa Mwamori, na mama yako alikuwa Muhiti.