Ezekiel 16:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kweli wewe ni mgonjwa wa mapenzi. Unafanya uzinzi bila kuona haya hata kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema Bwana Mungu Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, unatenda kama kahaba asiye aibu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi moyo wako ulivyokuwa dhaifu, asema Bwana MUNGU, ikiwa unafanya mambo hayo yote, kazi ya mwanamke mzinzi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kweli wewe ni mgonjwa wa mapenzi. Unafanya uzinzi bila kuona haya hata kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema BWANA Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, ukifanya kama kahaba asiyekuwa na aibu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema bwana Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, ukifanya kama kahaba asiyekuwa na aibu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi moyo wako ulivyokuwa dhaifu, asema Bwana MUNGU, ikiwa unafanya mambo hayo yote, kazi ya mwanamke mzinzi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kweli wewe ni mgonjwa wa mapenzi. Unafanya uzinzi bila kuona haya hata kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana Mungu: Kweli moyo wako ulikuwa unatamani sana kupendwa, ukiyafanya hayo yote yanayofanywa na mwanamke mgoni asiyejua soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi moyo wako ulivyokuwa dhaifu, asema Bwana MUNGU, ikiwa unafanya mambo hayo yote, kazi ya mwanamke mzinzi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wewe ni mugonjwa wa mapenzi. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.– Unafanya uzinzi bila kuona haya hata kidogo.