Ezekiel 16:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa basi, ewe malaya, lisikie neno langu, mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la Mwenyezi Mungu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo, Ewe kahaba, lisikie neno la Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa basi, ewe malaya, lisikie neno langu, mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la BWANA!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la bwana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo, Ewe kahaba, lisikie neno la BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa basi, ewe malaya, lisikie neno langu, mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, wewe mwanamke mgoni, lisikie neno la Bwana:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo, Ewe kahaba, lisikie neno la BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, ewe kahaba, usikilize neno la Yawe.