Ezekiel 16:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuhukumu kama wanavyohukumiwa wanawake wanaovunja ahadi ya ndoa au wauaji; nitakuhukumu kwa adhabu ya kifo kwa hasira na kwa ajili ya wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakuhukumia adhabu wanayopewa wanawake wafanyao uasherati na hao wanaomwaga damu; nitaleta juu yako kisasi cha damu cha ghadhabu yangu na hasira yangu yenye wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakuhukumu, kama wahukumiwavyo wake walioolewa wazinio, na kumwaga damu, nami nitakupatiliza damu ya ghadhabu na wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuhukumu kama wanavyohukumiwa wanawake wanaovunja ahadi ya ndoa au wauaji; nitakuhukumu kwa adhabu ya kifo kwa hasira na kwa ajili ya wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakuhukumia adhabu wanayopewa wanawake wafanyao uasherati na hao wamwagao damu, nitaleta juu yenu kisasi cha damu cha ghadhabu yangu na wivu wa hasira yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakuhukumia adhabu wanayopewa wanawake wafanyao uasherati na hao wamwagao damu, nitaleta juu yenu kisasi cha damu cha ghadhabu yangu na wivu wa hasira yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakuhukumu, kama wahukumiwavyo wake walioolewa wazinio, na kumwaga damu, nami nitakupatiliza damu ya ghadhabu na wivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuhukumu kama wanavyohukumiwa wanawake wanaovunja ahadi ya ndoa au wauaji; nitakuhukumu kwa adhabu ya kifo kwa hasira na kwa ajili ya wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitakupatiliza mapatilizo ya wanawake wavunjao unyumba nayo yao waliomwaga damu; hivyo nitakutoa, damu yako imwagwe kwa makali yenye moto na kwa wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakuhukumu, kama wahukumiwavyo wake walioolewa wazinio, na kumwaga damu, nami nitakupatiliza damu ya ghadhabu na wivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuhukumu kama vile wanawake wanaovunja ahadi ya ndoa au wauaji wanavyohukumiwa; nitakuhukumu kwa azabu ya kifo kwa hasira na kwa ajili ya wivu.