Ezekiel 16:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ile ulipozaliwa, kitovu chako hakikukatwa wala hukuoshwa kwa maji; hukusuguliwa kwa chumvi wala hukuvishwa nguo za kitoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari za kuzaliwa kwako, siku ile uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, wala hukuoshwa kwa maji usafishwe; hukutiwa chumvi hata kidogo, wala hukutiwa katika nguo kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ile ulipozaliwa, kitovu chako hakikukatwa wala hukuoshwa kwa maji; hukusuguliwa kwa chumvi wala hukuvishwa nguo za kitoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku uliyozaliwa kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku uliyozaliwa kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhusu habari za kuzaliwa kwako, siku ile uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, wala hukuoshwa kwa maji usafishwe; hukutiwa chumvi hata kidogo, wala hukutiwa katika nguo kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ile ulipozaliwa, kitovu chako hakikukatwa wala hukuoshwa kwa maji; hukusuguliwa kwa chumvi wala hukuvishwa nguo za kitoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kuzaliwa kwako kulikuwa hivyo: siku ulipozaliwa hukukatwa kitovu, wala hukuogoshwa maji, utakate, wala hukupakwa chumvi hata kidogo, wala hukuvikwa nguo za kitoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari za kuzaliwa kwako, siku ile uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, wala hukuoshwa kwa maji usafishwe; hukutiwa chumvi hata kidogo, wala hukutiwa katika nguo kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ulipozaliwa, kitofu chako hakikukatwa wala haukusafishwa na maji; haukupakaliwa chumvi wala kuvalishwa nguo za kitoto.