Ezekiel 16:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakuletea jeshi kukushambulia; watakuua kwa kukupiga mawe na kisha watakukatakata kwa mapanga yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataleta kundi la watu dhidi yako, watakaokupiga kwa mawe na kukukatakata vipande vipande kwa panga zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wataleta mkutano wa watu juu yako, nao watakupiga kwa mawe, na kukuchoma kwa panga zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakuletea jeshi kukushambulia; watakuua kwa kukupiga mawe na kisha watakukatakata kwa mapanga yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataleta kundi la watu dhidi yako, watakaokupiga kwa mawe na kukukatakata vipande vipande kwa panga zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataleta kundi la watu dhidi yako, watakaokupiga kwa mawe na kukukatakata vipande vipande kwa panga zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wataleta mkutano wa watu juu yako, nao watakupiga kwa mawe, na kukuchoma kwa panga zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakuletea jeshi kukushambulia; watakuua kwa kukupiga mawe na kisha watakukatakata kwa mapanga yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watakukusanyikia mkutano mkubwa, watakupiga mawe, kisha watakukatakata kwa panga zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wataleta mkutano wa watu juu yako, nao watakupiga kwa mawe, na kukuchoma kwa panga zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakuletea kundi kubwa kwa kukushambulia; watakuua kwa kukupiga mawe na kisha watakukatakata kwa panga zao.