Ezekiel 16:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ewe Yerusalemu! Mtu akitaka kutumia methali juu yako atasema: ‘Kama mama alivyo ndivyo alivyo binti yake.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kila mtu anayetumia mithali atatumia mithali hii kukuhusu: “Alivyo mama, ndivyo alivyo bintiye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ewe Yerusalemu! Mtu akitaka kutumia methali juu yako atasema: ‘Kama mama alivyo ndivyo alivyo binti yake.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kila mtu atumiaye maneno ya mithali hii, atayatumia juu yako: “Alivyo mama, ndivyo alivyo bintiye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kila mtu atumiaye maneno ya mithali hii, atayatumia juu yako: “Alivyo mama, ndivyo alivyo bintiye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ewe Yerusalemu! Mtu akitaka kutumia methali juu yako atasema: ‘Kama mama alivyo ndivyo alivyo binti yake.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa kila atumiaye mafumbo atakuambia fumbo hilo la kwamba: Kama mama alivyo, ndivyo, mwanawe wa kike alivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Yerusalema! Mutu akitaka kutumia mezali juu yako atasema hivi: Kama vile mama anavyokuwa ndivyo binti wake anavyokuwa.