Ezekiel 16:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli wewe ni mtoto wa mama aliyemchukia mumewe na watoto wake; wewe ni sawa na dada zako waliowachukia waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ni binti halisi wa mama yako, ambaye alimdharau mume wake na watoto wake; tena wewe ni dada halisi wa dada zako, waliowadharau waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti, na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe u binti ya mama yako, amchukiaye mume wake na watoto wake; nawe u umbu la maumbu yako, waliowachukia waume zao na watoto wao; mama yako alikuwa Mhiti, na baba yako Mwamori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli wewe ni mtoto wa mama aliyemchukia mumewe na watoto wake; wewe ni sawa na dada zako waliowachukia waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ni binti halisi wa mama yako, ambaye alimchukia kabisa mume wake na watoto wake, tena wewe ni dada halisi wa dada zako, waliowachukia kabisa waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ni binti halisi wa mama yako, ambaye alimchukia kabisa mume wake na watoto wake, tena wewe ni dada halisi wa dada zako, waliowachukia kabisa waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe u binti ya mama yako, amchukiaye mume wake na watoto wake; nawe u dada wa dada zako, waliowachukia waume zao na watoto wao; mama yako alikuwa Mhiti, na baba yako Mwamori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli wewe ni mtoto wa mama aliyemchukia mumewe na watoto wake; wewe ni sawa na dada zako waliowachukia waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ndiwe mwana wa mama yako aliyemkumba mumewe pamoja na watoto wake, tena ndiwe dada ya ndugu zako wa kike waliowakumba waume zao pamoja na watoto wao; mama yenu ni Mhiti, naye baba yenu ni Mwamori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe u binti ya mama yako, amchukiaye mume wake na watoto wake; nawe u umbu la maumbu yako, waliowachukia waume zao na watoto wao; mama yako alikuwa Mhiti, na baba yako Mwamori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wewe ni mutoto wa mama aliyemuchukia mume wake na watoto wake; wewe ni sawa na dada zako waliowachukia waume wao na watoto wao. Mama yako alikuwa Muhiti na baba yako alikuwa Mwamori.