Ezekiel 16:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli naapa kwa nafsi yangu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu kuwa, dada yako Sodoma na binti zake, hawakufanya maovu kama yale uliyotenda wewe na binti zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika kama niishivyo, asema Bwana Mungu Mwenyezi, dada yako Sodoma pamoja na binti zake, kamwe hawakufanya yale ambayo wewe na binti zako mmefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, Sodoma, umbu lako, yeye na binti zake, hawakutenda kama wewe ulivyotenda, wewe na binti zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli naapa kwa nafsi yangu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu kuwa, dada yako Sodoma na binti zake, hawakufanya maovu kama yale uliyotenda wewe na binti zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika kama niishivyo, asema BWANA Mwenyezi, dada yako Sodoma pamoja na binti zake, kamwe hawakufanya yale ambayo wewe na binti zako mmefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika kama niishivyo, asema bwana Mwenyezi, dada yako Sodoma pamoja na binti zake, kamwe hawakufanya yale ambayo wewe na binti zako mmefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, Sodoma, dada yako, yeye na binti zake, hawakutenda kama wewe ulivyotenda, wewe na binti zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli naapa kwa nafsi yangu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu kuwa, dada yako Sodoma na binti zake, hawakufanya maovu kama yale uliyotenda wewe na binti zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, nilivyo Mwenye uzima, ndivyo, asemavyo Bwana Mungu, dada yako mdogo Sodomu na wanawe hawakufanya mabaya, kama wewe na wanao mlivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, Sodoma, umbu lako, yeye na binti zake, hawakutenda kama wewe ulivyotenda, wewe na binti zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile ninavyoishi, –ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe– dada yako Sodoma na wabinti zake, hawakufanya maovu kama yale uliyotenda wewe na wabinti zako.