Ezekiel 16:53 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitawarudishia Sodoma na Samaria pamoja na binti zao fanaka yao ya awali. Nawe pia nitakufanikisha miongoni mwao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini nitarudisha baraka za Sodoma na binti zake na za Samaria na binti zake, nami nitarudisha baraka zako pamoja na zao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawarudisha watu wao waliofungwa; wafungwa wa Sodoma na binti zake, na wafungwa wa Samaria na binti zake na wafungwa wako waliofungwa kati yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitawarudishia Sodoma na Samaria pamoja na binti zao fanaka yao ya awali. Nawe pia nitakufanikisha miongoni mwao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini nitarudisha baraka za Sodoma na binti zake na za Samaria na binti zake, nami nitarudisha baraka zako pamoja na zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini nitarudisha baraka za Sodoma na binti zake na za Samaria na binti zake, nami nitarudisha baraka zako pamoja na zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawarudisha watu wao waliofungwa; wafungwa wa Sodoma na binti zake, na wafungwa wa Samaria na binti zake na wafungwa wako waliofungwa kati yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitawarudishia Sodoma na Samaria pamoja na binti zao fanaka yao ya awali. Nawe pia nitakufanikisha miongoni mwao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, nitakapoyafungua tena mafungo yao: mafungo ya Sodomu na ya wanawe wa kike nayo mafungo ya Samaria na ya wanawe wa kike, kisha nayo mafungo yako wewe, uwe katikati yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawarudisha watu wao waliofungwa; wafungwa wa Sodoma na binti zake, na wafungwa wa Samaria na binti zake na wafungwa wako waliofungwa kati yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawarudishia Sodoma na Samaria pamoja na wabinti zao hali yao njema ya mbele. Nawe vilevile nitakufanikisha kati yao,