Ezekiel 16:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili ubebe aibu yako na kuona haya, kwa sababu ya mambo yote uliyotenda, ndipo kwa hali yako hiyo dada zako watajiona kwamba wao ni afadhali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili upate kuchukua aibu yako na kufedheheka kwa ajili ya yote uliyotenda ambayo yamekuwa faraja kwao wakijilinganisha na wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
upate kuichukua aibu yako mwenyewe, na kutahayari, kwa sababu ya mambo yote uliyoyatenda, kwa kuwa umekuwa faraja kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili ubebe aibu yako na kuona haya, kwa sababu ya mambo yote uliyotenda, ndipo kwa hali yako hiyo dada zako watajiona kwamba wao ni afadhali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili upate kuchukua aibu yako na kufedheheka kwa ajili ya yote uliyotenda ambayo yamekuwa faraja kwao wakijilinganisha na wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili upate kuchukua aibu yako na kufedheheka kwa ajili ya yote uliyotenda ambayo yamekuwa faraja kwao wakijilinganisha na wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
upate kuichukua aibu yako mwenyewe, na kutahayari, kwa sababu ya mambo yote uliyoyatenda, kwa kuwa umekuwa faraja kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili ubebe aibu yako na kuona haya, kwa sababu ya mambo yote uliyotenda, ndipo kwa hali yako hiyo dada zako watajiona kwamba wao ni afadhali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi upate kushikwa na soni ikupasayo; ndipo, utakapoona soni kweli kwa ajili yao yote, uliyoyafanya na kuwapatia wale matulizo ya mioyo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
upate kuichukua aibu yako mwenyewe, na kutahayari, kwa sababu ya mambo yote uliyoyatenda, kwa kuwa umekuwa faraja kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi ubebe haya yako na kufezeheka, kwa sababu ya mambo yote uliyotenda, ndipo kwa hali yako hiyo wadada zako watajiona kwamba wao ni afazali.