Ezekiel 16:56 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa majivuno yako ulimdharau dada yako Sodoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hukuweza hata kumtaja dada yako Sodoma kwa sababu ya dharau yako katika siku za kiburi chako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana umbu lako, Sodoma, hakutajwa kwa kinywa chako katika siku ya kiburi chako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa majivuno yako ulimdharau dada yako Sodoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hukuweza hata kumtaja dada yako Sodoma kwa sababu ya dharau yako katika siku za kiburi chako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hukuweza hata kumtaja dada yako Sodoma kwa sababu ya dharau yako katika siku za kiburi chako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana dada yako, Sodoma, hakutajwa kwa kinywa chako katika siku ya kiburi chako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa majivuno yako ulimdharau dada yako Sodoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Jina lake dada yako mdogo Sodomu halikuwa kinywani mwako la kutishia siku zile, ulipokuwa mwenye majivuno?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana umbu lako, Sodoma, hakutajwa kwa kinywa chako katika siku ya kiburi chako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa majivuno yako ulimuzarau dada yako Sodoma.