Ezekiel 16:57 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hukufanya hivyo kabla uovu wako haujafichuliwa? Sasa umekuwa kama Sodoma. Umekuwa kitu cha dhihaka mbele ya binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti jirani zako ambao walikuchukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kabla uovu wako haujafunuliwa. Hata hivyo, sasa unadhihakiwa na binti za Shamu na majirani zake wote, na binti za Wafilisti, wale wote wanaokuzunguka wanakudharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kabla uovu wako haujafunuliwa bado, kama vile wakati ule walipokutukana binti za Shamu, na wale wote waliomzunguka, binti za Wafilisti wanaokudharau pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hukufanya hivyo kabla uovu wako haujafichuliwa? Sasa umekuwa kama Sodoma. Umekuwa kitu cha dhihaka mbele ya binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti jirani zako ambao walikuchukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kabla uovu wako haujafunuliwa. Hata hivyo, sasa unadhihakiwa na binti za Edomu na jirani zake wote na binti za Wafilisti, wale wote wanaokuzunguka wanakudharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kabla uovu wako haujafunuliwa. Hata hivyo, sasa unadhihakiwa na binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti, wale wote wanaokuzunguka wanakudharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kabla uovu wako haujafunuliwa bado, kama vile wakati ule walipokutukana binti za Shamu, na wale wote waliomzunguka, binti za Wafilisti wanaokudharau pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hukufanya hivyo kabla uovu wako haujafichuliwa? Sasa umekuwa kama Sodoma. Umekuwa kitu cha dhihaka mbele ya binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti jirani zako ambao walikuchukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni hapo, mabaya yako yalipokuwa hayajafunuliwa bado, kama yalivyofunuka siku zile, wanawake wa Ushami walipokutukana pamoja nao wote wanaokaa na kukuzunguka, ndio wanawake wa Wafilisti waliokubeza po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kabla uovu wako haujafunuliwa bado, kama vile wakati ule walipokutukana binti za Shamu, na wale wote waliomzunguka, binti za Wafilisti wanaokudharau pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haukufanya hivyo mbele uovu wako haujafichuliwa. Sasa umekuwa kama Sodoma. Umekuwa kitu cha kuchekelewa mbele ya wabinti za Edomu na jirani zake wote, na wabinti za Wafilistini jirani zako ambao walikuchukia.