Ezekiel 16:58 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeuchukua uasherati wako, na machukizo yako, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakupasa kupata adhabu ya uasherati wako, na machukizo yako, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, ulivyotwikwa uzinzi wako na machukizo yako; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeuchukua uasherati wako, na machukizo yako, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. –Ni ujumbe wa Yawe.