Ezekiel 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Nami nikapita karibu nawe nikakuona ukigaagaa kwenye damu yako, nawe ulipokuwa umelala hapo penye hiyo damu nikakuambia, “Ishi!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai; naam, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ndipo nilipopita karibu nawe nikakuona ukigaagaa kwenye damu yako, nawe ulipokuwa umelala hapo penye hiyo damu nikakuambia, “Ishi!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ndipo nilipopita karibu nawe nikakuona ukigaagaa kwenye damu yako, nawe ulipokuwa umelala hapo penye hiyo damu nikakuambia, “Ishi!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia, Ulipokuwa katika damu yako, uwe hai; naam, nilikuambia, Ulipokuwa katika damu yako, uwe hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikapita hapo, ulipokuwa, nikakuona ulivyogaagaa katika damu yako nikakuambia: Hivyo, unavyolala katika damu yako, uwe mzima! Nikakuambia kweli: Hivyo unavyolala katika damu yako, uwe mzima!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai; naam, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nikakuambia: