Ezekiel 16:61 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utakumbuka mienendo yako na kuona aibu wakati nitakapokupa dada zako, mkubwa na mdogo, kama binti zako, ingawa si kwa sababu ya agano kati yangu na wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo utakapozikumbuka njia zako na kuona aibu utakapowapokea dada zako, wale walio wakubwa wako na wadogo wako. Nitakupa hao wawe binti zako, lakini si katika msingi wa agano langu na wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ndipo utakapozikumbuka njia zako, na kutahayarika, hapo utakapowakaribisha maumbu yako, walio wakubwa wako na wadogo wako; nami nitakupa hao wawe binti zako, lakini si kwa agano lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utakumbuka mienendo yako na kuona aibu wakati nitakapokupa dada zako, mkubwa na mdogo, kama binti zako, ingawa si kwa sababu ya agano kati yangu na wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo utakapozikumbuka njia zako na kuona aibu utakapowapokea dada zako, wale walio wakubwa wako na wadogo wako. Nitakupa hao wawe binti zako, lakini si katika msingi wa Agano langu na wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo utakapozikumbuka njia zako na kuona aibu utakapowapokea dada zako, wale walio wakubwa wako na wadogo wako. Nitakupa hao wawe binti zako, lakini si katika msingi wa Agano langu na wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ndipo utakapozikumbuka njia zako, na kutahayarika, hapo utakapowakaribisha dada zako, walio wakubwa wako na wadogo wako; nami nitakupa hao wawe binti zako, lakini si kwa agano lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utakumbuka mienendo yako na kuona aibu wakati nitakapokupa dada zako, mkubwa na mdogo, kama binti zako, ingawa si kwa sababu ya agano kati yangu na wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapozikumbuka njia zako na kuona soni utakapowachukua dada zako walio wakubwa kuliko wewe nao walio wadogo kuliko wewe, nitakapowatoa, nikupe wawe wanao, lakini sitavifanya kwa ajili ya agano lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ndipo utakapozikumbuka njia zako, na kutahayarika, hapo utakapowakaribisha maumbu yako, walio wakubwa wako na wadogo wako; nami nitakupa hao wawe binti zako, lakini si kwa agano lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utakumbuka mienendo yako na kupata haya wakati nitakapokupa wadada zako, mukubwa na mudogo, kama wabinti zako, ingawa si kwa sababu ya agano kati yangu na wewe.